Karibu kwa masomo ya touch typing!

Bado una andiaka na vidole viwili? Bado una hitajika kuangalia kibodi kabla huja andika?
Touch typing study ni bure, rahisi kutumia na itakusaidia kuboresha mwendo wako wa kuandika.
Ukisha jua ku touch type huta hitajika kuangalia kibodi kutafuta herufu na pia uta weza kuandika haraka haraka.
Touch type hutumia mbinu za ukumbuso wa misuli badili ya macho. Hii mbinu huku saidia kuandika karaka haswa uki hitajika kuandika kutoka kwa habari za uangalia.
Touch type itakusaidia kuboresha kazi yako ya computer ina ongeza mbio ya kuandika na kupunguza uchofu.
Touch type ina masomo 15, mtihani na michezo ya kuangalia mbio yako ya kuandika ambayo uta soma daraja kwa daraja pamoja na uone hatua zako.

Kibodi